kitabakilo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 319
- 570
hasa ile midonge ya kutibu U T I mkuu ni hatari sana ile midonge ukiwa unatumia sanaKisababishi no 1 hapo juu ni aina gani za dawa zikitumiwa zinasababisha mawe kwenye figo
mkuu tufafanulie zaidi
pia tuchukue hatua zipi kujikinga na maradhi haya