Tatizo la mba nisaidieni

Tatizo la mba nisaidieni

Joined
Dec 1, 2012
Posts
53
Reaction score
2
jamaani mba kichwani zina nisumbua nifanye je?mim wakiume wala sipaki mafuta yoyote kichwani zaidi ya babycare
 
nakushauri uende kwenye maduka makubwa ya vipodozi utapata mafuta maalum ya kuondoa mba kichwani ambayo utakuwa unapaka kichwani.
 
Hiyo bebycare yenyewe ina petroleum ambayo wengi huwaletea m'ba. Ushauri hapo juu utakusaidia.
 
nyoa kipara kwa muda tatizo lako litaisha .kama mwaka 1 hiv
 
jamaani mba kichwani zina nisumbua nifanye je?mim wakiume wala sipaki mafuta yoyote kichwani zaidi ya babycare

Nyoa nywele zote then nunua shampoo iitwayo candid TV uoshe nywele zako kwa kuitumia wakati huo meza dawa iitwayo Griseofulvin tabs 500mg umeze kidonge kimoja daily kwa siku 30 ila dosage yaweza kudouble kulingana na usugu wa tatizo.
 
good advice,sanjari na kumeza hizo G/fluvin,namshauri awe anapaka Amol G cream asubuhi na jioni kwenye hicho kipara!!
 
Back
Top Bottom