Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

KIRABIDI

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
5
Reaction score
2
Jamani mimi nimeoa miezi minne iliyopita, nimejitahidi kumpa mke wangu mimba ila bado haijakubali. Najihisi ninatatizo moja ambalo ni mbegu za kiume kutotoka kwa speed na kuruka kama nilivyokua nazihisi zamani. Na maranyingi kila nikimaliza tendo la ndoa mbegu zilizoingia ukeni zinarudi zote mda huohuo. Je huenda hili ni tatizo la mimi kushindwa kumtungisha mimba mke wangu?

Na dawa yake ni nini?

Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu miezi mine ndani ya ndoa ni muda mfupi sana kuanza kuwa na wasiwasi kuhusu mbegu zako "kuruka" au "kutoruka". Endeleeni kufurahia tendo la ndoa bila ya kujipa pressure ya kupata ujauzito. Kujipa pressure ya kupata ujauzito huongeza ugumu wa mke kushika mimba na hivyo zoezi kuchukua muda mrefu sana. Ikifikia muda wa mbegu kuruka basi zitaruka tu na nyie wote kujawa na furaha kubwa ya kiumbe wenu mtarajiwa. Kila la heri Mkuu.

JAMANI MIMI NIMEOA MIEZI MINNE ILIYOPITA, NIMEJITAHIDI KUMPA MKE WANGU MIMBA ILA BADO HAIJAKUBALI. NAJIHISI NINATATIZO MOJA AMBALO NI MBEGU ZA KIUME KUTOTOKA KWA SPEED NA KURUKA KAMA NILIVYOKUA NAZIHISI ZAMANI. NA MARANYINGI KILA NIKIMALIZA TENDO LA NDOA MBEGU ZILIZOINGIA UKENI ZINARUDI ZOTE MDA HUOHUO. JE HUENDA HILI NI TATIZO LA MIMI KUSHINDWA KUMTUNGISHA MIMBA MKE WANGU? NA DAWA YAKE NI NINI?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali. Natanguliza shukrani za dhati
 
JAMANI MIMI NIMEOA MIEZI MINNE ILIYOPITA, NIMEJITAHIDI KUMPA MKE WANGU MIMBA ILA BADO HAIJAKUBALI. NAJIHISI NINATATIZO MOJA AMBALO NI MBEGU ZA KIUME KUTOTOKA KWA SPEED NA KURUKA KAMA NILIVYOKUA NAZIHISI ZAMANI. NA MARANYINGI KILA NIKIMALIZA TENDO LA NDOA MBEGU ZILIZOINGIA UKENI ZINARUDI ZOTE MDA HUOHUO. JE HUENDA HILI NI TATIZO LA MIMI KUSHINDWA KUMTUNGISHA MIMBA MKE WANGU? NA DAWA YAKE NI NINI?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali. Natanguliza shukrani za dhati

Ulikuwa unazionaje kama mbegu zako"zinaruka"?Ina maana ulikuwa unapiga punyeto?Kuruka mbegu wakati wa punyeto ni jambo la kawaida maana pressure ya epidydimis inakuwa haina pa kuzuia!

Miezi 4 kuwa na wasi wasi?Bado sana mkuu na mbegu zinazotoka ni surplus of requirements kwani zile zitakiwazo zimeingia!Kuwa na uhakika mwambie Mkeo awe anakinga vizuri!
 
ndugu... mimba hazitafutwi kwa style hiyo

pia swali la malafyale muhimu sana, ulikua unazionaje?? na je wakati wa tendo focus yako ni kuruka kwa mbegu au satisfaction ya mama??

kumbuka mke sio kiwanda cha watoto, make her happy kwanza ndio priority
 
Asanteni kwa ushauri. Cjasema nlikua naziona ila nlikua nazihisi.
 
Man at WORK !! Mpendwa endelea na uchimbaji udihili machimboni kulia na kushoto, hapo utakapofika piga kambi humohumo usitoke haraka. Mafanikio yapo !! amin
 
miezi 4, ah... kuwa mvumilivu bwana. ponda raha
 
Hilo tatizo hata mimi nalihisi ila tofauti tu mimi nina mwaka na miez 2!
 
jamani mimi nimeoa miezi minne iliyopita, nimejitahidi kumpa mke wangu mimba ila bado haijakubali. Najihisi ninatatizo moja ambalo ni mbegu za kiume kutotoka kwa speed na kuruka kama nilivyokua nazihisi zamani. Na maranyingi kila nikimaliza tendo la ndoa mbegu zilizoingia ukeni zinarudi zote mda huohuo. Je huenda hili ni tatizo la mimi kushindwa kumtungisha mimba mke wangu? Na dawa yake ni nini?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali. Natanguliza shukrani za dhati

mapema kiasi hiki?acha woga/endelea kumfaidi waifu
 
Kuwa makini mkapime usijekuwa umeoa Tasa.... Mademu wengi waliokuwa kua na kuolewa fasta wengi wamepitia visa vingi vya kutoa Mimba... na huwa wanaenda hospital za vichochoroni kutolea Mimba zao so wengi walifanikiwa kutoa mimba na madaktari wengi huwa ua vizazi vyao... hii sijajua ni kusudi au bahati mbaya... nashuhudia ndoa nyingi hazina watoto.... huku wakijifanya wote hawajui nani mchawi... Utazunguka sana mkuu na kupewa moyo tu... ila ndio hivyo umeamua kuoa tegemea chochote hata kama ni miujiza.... Wanaita Pingu za Maisha...


Bora kukosea sijui nini nimesahau....... kuliko kukosea kuoa...
 
Nilishaweka tangazo humu mkuu matatizo ya nguvu za kiume au matatizo ya kupata watoto ni madogo sana ukikutana na dr.sakaingo mtaalamu wa tiba asilia wengi wametatuliwa matatizo yao tena paka hapa jf for more informations contact 0719836781 au 0765666390 kama uko mikoani huduma itakufikia paka hapo ulipo
 
Mungu ni Mwema kila iitwapo leo
usiache kumwomba na hatimaye
utapata hitaji lako kwa wakati Mkuu.
 
Wakuu kunauhusiano wwt wa mbegu kutoruka na uwezo wakutotia mimba?
 
Wala huna tatizo...shida inakuja pale ambapo kila mkifanya unawaza/mnawaza je hizi mbegu ndo zinaenda kuungana na yai au la?
Kuhusu mbegu kutoka sidhani kama zinatoka zote bwana!! labda wataalam wakusaidie kujibu hili

Kula tunda lako bwana huku njia ikiendelea kufunguka ipo siku zitateleza mpaka zifike mahali husika

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom