Jamani mimi nimeoa miezi minne iliyopita, nimejitahidi kumpa mke wangu mimba ila bado haijakubali. Najihisi ninatatizo moja ambalo ni mbegu za kiume kutotoka kwa speed na kuruka kama nilivyokua nazihisi zamani. Na maranyingi kila nikimaliza tendo la ndoa mbegu zilizoingia ukeni zinarudi zote mda huohuo. Je huenda hili ni tatizo la mimi kushindwa kumtungisha mimba mke wangu?
Na dawa yake ni nini?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Na dawa yake ni nini?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.