Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

JAMANI MIMI NIMEOA MIEZI MINNE ILIYOPITA, NIMEJITAHIDI KUMPA MKE WANGU MIMBA ILA BADO HAIJAKUBALI. NAJIHISI NINATATIZO MOJA AMBALO NI MBEGU ZA KIUME KUTOTOKA KWA SPEED NA KURUKA KAMA NILIVYOKUA NAZIHISI ZAMANI. NA MARANYINGI KILA NIKIMALIZA TENDO LA NDOA MBEGU ZILIZOINGIA UKENI ZINARUDI ZOTE MDA HUOHUO. JE HUENDA HILI NI TATIZO LA MIMI KUSHINDWA KUMTUNGISHA MIMBA MKE WANGU? NA DAWA YAKE NI NINI?
Kama kuna doctor au yeyote anaeelewa tatizo hili na kama kuna uwezekano wa mimi kupata mtoto anishauri tafadhali. Natanguliza shukrani za dhati

hata kama zitaruka kwa speed ya rocket if they are dead sperms huwezi kumpa mimba mwanamke yeyote.
 
Back
Top Bottom