Hance Mbuya
Member
- Apr 11, 2012
- 45
- 12
Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda mda sii mrefu tena nitaenda kuling'oa..
Sasa swali langu,ni kipi kinachosababisha mpaka jino kuchimbika?kuna tiba inayoweza kuzuia hili?nina miaka 22 sasa na nimeshang'oa meno mawili nikiwa na miaka 50 sijui kama litakuwepo hata moja....
Mdogo wangu HM,Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda mda sii mrefu tena nitaenda kuling'oa..
Sasa swali langu,ni kipi kinachosababisha mpaka jino kuchimbika?kuna tiba inayoweza kuzuia hili?nina miaka 22 sasa na nimeshang'oa meno mawili nikiwa na miaka 50 sijui kama litakuwepo hata moja....
Mdogo wangu HM,
Siku hizi hakuna mambo ya kung'oa kama zmani, awali hapakuwepo mbadala... Huwa meno ya aina hiyo huzibwa (filling) au hufanyiwa construction matengenezo tu.!!
sasa ndugu ukitoa meno kweli utaweza kucheka mbele ya vijana wenzio?!! mmmh ni hatari..