Tatizo la meno kuharibika

Tatizo la meno kuharibika

Hance Mbuya

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
45
Reaction score
12
Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda mda sii mrefu tena nitaenda kuling'oa..

Sasa swali langu,ni kipi kinachosababisha mpaka jino kuchimbika?kuna tiba inayoweza kuzuia hili?nina miaka 22 sasa na nimeshang'oa meno mawili nikiwa na miaka 50 sijui kama litakuwepo hata moja....
 
ngoja waje wazee wa kula vitamu vitamu
 
Mdogo wangu HM,
Siku hizi hakuna mambo ya kung'oa kama zmani, awali hapakuwepo mbadala... Huwa meno ya aina hiyo huzibwa (filling) au hufanyiwa construction matengenezo tu.!!
sasa ndugu ukitoa meno kweli utaweza kucheka mbele ya vijana wenzio?!! mmmh ni hatari..
 
Forever bright tooth paste, hakikisha kila unapomaliza kula kitu una piga mswaki, usiku piga mswaki, ukimaliza piga ya mwisho na uache povu mdomoni hadi asubuhi. Tuombeane wote ktk hili.
 
Tamalisa unasema aache povu mdomoni hadi asubuhi!

Tuwasaidie jamani maana watu wana matatizo kweli
 
Back
Top Bottom