Tatizo la mfupa kujiunda kwenye msuli baada ya kuumia

Tatizo la mfupa kujiunda kwenye msuli baada ya kuumia

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Majeraha yanaweza kupelekea hali isiyo ya kawaida ya Mfupa kujiunda kwenye tishu (Myositis Ossificans) ni hali isiyo ya kawaida ambayo mara nyingi hutokea kwa wanariadha wanaopata jeraha ambalo husababisha kutokwa na damu ndani kwa ndani, kwenye misuli ya ndani. Kutokwa na damu nyingi ndani ya misuli hutengeneza kuvia kwa damu (hematoma), ambayo inaweza kusababisha kuundwa kwa mfupa kwenye msuli husika wakati wa uponyaji.

Myositis ossificans' ni hitilafu katika mchakato wa uponyaji wa jeraha la kawaida, ni hali mbaya ambayo husababisha mfupa kuundwa katika misuli au tishu nyingine laini jambo ambalo sio la kawaida. Dalili ni maumivu na uwepo wa kivimbe kigumu kwenye msuli.

Word-Post.jpg
 
Back
Top Bottom