JfBro
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 587
- 160
Habar za majukumu wakuu?
Nina tatizo la kuumwa mgongo hasa chini ya bega la kulia kidogo, pia mara nyingine nikiinama kwa muda mrefu kama nafua nikiamka mgongo wote unauma au sehemu ya chini kwenye kiuno panauma sana.
Nikikaa mahali muda mrefu lazima mgongo uanze kuuma chini ya bega la kulia hili tatizo lilinianziaa jeshini, nikiwa JKT nikajua litaisha nikaitoka jeshi ila bado linaendelea.
Huu ni ugonjwa gani wakuu nikienda hospital namuelezea dokta napewa dawa lakini baada ya muda maumivu yanarudi.
Vipimo ninavyopimaga ni vya kawaida tu kama full blood pictures na vingine na sinaa ugonjwa wowote.
Naomba mwenye kujua tiba anijuze.