Tatizo la mgongo

Tatizo la mgongo

JfBro

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
587
Reaction score
160
Habar za majukumu wakuu?

Nina tatizo la kuumwa mgongo hasa chini ya bega la kulia kidogo, pia mara nyingine nikiinama kwa muda mrefu kama nafua nikiamka mgongo wote unauma au sehemu ya chini kwenye kiuno panauma sana.

Nikikaa mahali muda mrefu lazima mgongo uanze kuuma chini ya bega la kulia hili tatizo lilinianziaa jeshini, nikiwa JKT nikajua litaisha nikaitoka jeshi ila bado linaendelea.

Huu ni ugonjwa gani wakuu nikienda hospital namuelezea dokta napewa dawa lakini baada ya muda maumivu yanarudi.

Vipimo ninavyopimaga ni vya kawaida tu kama full blood pictures na vingine na sinaa ugonjwa wowote.

Naomba mwenye kujua tiba anijuze.
 
Nenda morogoro ukifika stendi chukua Bodaboda akupeleke kwa Dr wa kiroma kwa father wa kihindi yuko kihonda antibusana mm nilienda nimeponakabisaa fanyaharaka ilahuwakuna folenisana
 
Nenda morogoro ukifika stendi chukua Bodaboda akupeleke kwa Dr wa kiroma kwa father wa kihindi yuko kihonda antibusana mm nilienda nimeponakabisaa fanyaharaka ilahuwakuna folenisana

nipo mbali sana na morogoro mkuu ila ntajaribu,asante
 
Wakuu habari zenu! nina tatizo la kuumwa mgongo hasa upande wa kulia wa chini ya begaa mwisho wa bega, panakuwa na maumivu yanaanza taratibu na kusambaa upande mzima hadi kiunoni na kwenye uti wa mgongo kuanzia katikakati ya mgongo kushuka chini.

Nimeenda hospital nimepiga X ray hakuna tatizo lolote nikikaaa chini kwa muda mrefu mgongo unauma sana. Sifanyi kazi ngumu za kubeba vitu vizito wala lakini ndio hivyo wakuu.

Naumwa sana naombeni msaadaa nifanyeje?
 
Back
Top Bottom