Salaam Jf.,
Naomba msaada wa mwenye kujua tatizo la midomo kuungua kwa ndani haswa sehemu ya juu.
Ni wiki ya Pili sasa naona midomo yangu imeungua kwa ndani haswa sehemu ya juu na kuna kama michubuko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.