Tatizo la miguu kuuma

Tatizo la miguu kuuma

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,062
Reaction score
1,871
Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana
Kwaanae fahamu tatizo hili na tiba yake anisaidie tafadhali nateseka sana
Asante
 
Ongeza taarifa kidogo tukusaidie..

Maumivu yako vipi? Ni ya muda wote? Ni hapo tu kwenye kisigino au kuna sehemu nyengine ya mguu/miguu inayouma? Wewe ni mnene au umeongezeka uzito hivi karibuni?
 
jarib pima vipimo vinavyohusiana na damu huenda ukapata abc, pole sana ile changamoto yako ya awali umefanikiwa kupata matibabu?
 
Ongeza taarifa kidogo tukusaidie..

Maumivu yako vipi? Ni ya muda wote? Ni hapo tu kwenye kisigino au kuna sehemu nyengine ya mguu/miguu inayouma? Wewe ni mnene au umeongezeka uzito hivi karib

Ongeza taarifa kidogo tukusaidie..

Maumivu yako vipi? Ni ya muda wote? Ni hapo tu kwenye kisigino au kuna sehemu nyengine ya mguu/miguu inayouma? Wewe ni mnene au umeongezeka uzito hivi karibuni?
 
Maumivu hapo kwenye visigino tuu pia si wakati wote ni ule wakati wa kutembea tuu nachechemea pia mimi sio mnene sana Nina kilo 82
 
Maumivu ni kwenye visigino tuu pia si muda wote ninapata maumivu ni ule wakati wa kutembea tuu ndo nasikia maumivu kwenye uzito Nina kilo 82
 
Maumivu hapo kwenye visigino tuu pia si wakati wote nakumiss ni ule wakati wa kutembea tuu nakumiss Hafiz nachechemea pia mimi sio mnene sana Nina kilo 82
Hiyo nakumiss Hafiz imefanya nishindwe kupata mtiririko wa hili andiko kwa uzuri, anyway ngoja waje.
 
Maumivu hapo kwenye visigino tuu pia si wakati wote ni ule wakati wa kutembea tuu nachechemea pia mimi sio mnene sana Nina kilo 82
Kilo 82 zinaweza kuwa kawaida au nyingi kulingana na urefu wako. Una urefu gani?
 
Maumivu hapo kwenye visigino tuu pia si wakati wote ni ule wakati wa kutembea tuu nachechemea pia mimi sio mnene sana Nina kilo 82
Mkuu uzito wako unaendana na urefu wako? Vipi kuhusu uric acid? Unakunywa pombe?. Nina rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo akaenda aga Khan. Amepona yuko poa kabisa. Anasema pia alibadirisha diet ikiwemo ulaji wa supu ya bamia kwa miezi kama miwili mfululizo. Nakushauri uwaone wataalamu wa afya watakusaidia hilo ni tatizo dogo sana usijipe stress mkuu. Asante
 
Mie nina changamoto ya magoti, haswa la kushoto ukikunja na kukunjua, linalia kama mlango ambao bawabu zake zimechoka.
 
Mkuu uzito wako unaendana na urefu wako? Vipi kuhusu uric acid? Unakunywa pombe?. Nina rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo akaenda aga Khan. Amepona yuko poa kabisa. Anasema pia alibadirisha diet ikiwemo ulaji wa supu ya bamia kwa miezi kama miwili mfululizo. Nakushauri uwaone wataalamu wa afya watakusaidia hilo ni tatizo dogo sana usijipe stress mkuu. Asante
Sinywi pombe nitajitahidi niende Kwa wataalamu wa afya
 
Back
Top Bottom