NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
TEMBEA HARAKA HARAKA KWA MUDA WA DK 30 KILA SIKU KWA SIKU TANO ZA WIKI.HIVYO UTAKUWA UMETUMIA DK 150 NDANI YA WIKI 1,Body mass index yangu ni 36,Nahitaji kujua pia ni aina gani ya mazoezi nahitaji kufanya,Kwani physician wamenishauri nisianze mazoezi makali kwanza.Nimewaona wataalam mbali mbali na dawa nimetumia lakini nafuu haipo kabisa.
DAWA YA KWANZA MCHUE SEHEMU ZINAZO PATA GANZI KWA MAFUTA YA MKARATUSI NA HABAT SODA AU MZAITUNI. AU TAFUTA MAGOME YA MTI WA MLONGE YAPONDE YALAINIKE KISHA MFUNGE ENEO LENYE GANZI KWA DAKIKA 5-10 KISHA ONDOA.BAADA YA HAPO AANZE MAZOEZI TATIZO LISIJIRUDIE TENAwapendwa
Baba yangu anasumbuliwa na ganzi mguuni, kila anaposimama mguu unashikwa ganzi wote, mguu mmoja. ametumia dawa kadhaa lakini hatuoni mabadiliko yo yote. any idea of medicine/tiba will be helpful.
Thanks
weka namba ya simu kwa maulizo.Ninayo dawa ya hospital bei ni 7500 tuu
Nitaipataje hiyo dawa mkuu?Ninayo dawa ya hospital bei ni 7500 tuu
Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga chini vizuri.
Nina umri wa miaka 38 na uzito wa 98Kg.Sijaugua ugonjwa mwingine zaidi ya malaria ya kawaida kwa mwaka mara mbili au moja.
Kwa ufupi sina mazoezi yoyote ya viungo nifanyayo.Sasa natembelea fimbo kama mlemavu.
WanaJF, Niangalizieni hili na kama kuna mtaalamu wa viungo humu basi anipe ushauri ni mazoezi gani nifanye kupunguza uzito.
Habarini wadau wa JF doctors Leo nimewa letea somo fupi linalo eleza kuhusu miguu kuwaka moto ( burning foot)!!
Lengo la somo ni kuwapa uelewa wa nini hasa maana ya ugojwa, visababishi na Tiba kwa ufupi ambayo hasa inategemea kisababishi cha tatizo. Hilo la moguu kuwaka moto!!
Na wale ambao wanatatizo hili pia itawasaidia kujua nini cha kufanya!!!
Somo lipo kwa namna ya video click link hapo juu na utazame!!!
[HASHTAG]#subscribe[/HASHTAG] to get more videos !!!!
JDr JacksonDr hii Channel yako inapatikana youtube?? Je ni kwa jina gani??
pole sana mi mwaka jana niliumwa huo ugonjwa mpaka nikawa siwezi kukanyaga nilizunguka hospitali kubwa zote unazozijua hapa mjini nikatumia kama milioni mbili sijapona uzuri nilikuwa na bima so sikutoa hela mfukoni,nilienda Aga Khan kuna dk mmoja mwanamke wa kihindi nimesahau jina lake nikummushe kesho nicheki vyeti vyangu,alinichoma sindano inaitwa neorobin injectiobn na nyingine siikumbuki na nikapewa food supliment ginsomin sasa nikikwambia nina uwezo wa kucheza mpira na kuruka kama ndama huwezi amini wakati nilikuwa nadhani naelekea kuwa mlemavuunaitwa peripheral neuropath
Miaka 33 tatizo ni la miaka 2 maumivu makali kifuani mfano wa MTU aliyekaa karibu na moto. Lakini hayo maumivu huwa yanadumu kwa kipindi tu si wakat woteUna umri wa miaka mingapi?? Tatizo lina muda gani?? Maumivu yanakua ya aina gani??
Ongeza maelezo kidogo kwny hayo maumivu ya kifua...Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina