Nimekuelewa mkuuMkuu haupo peke yako haswa kwenye miguu kuwaka moto. Nilishawahi omba ushauri hapa na michanga ya mawazo ilikuwa mingi lakin haikunisaidia kuna mmoja alinishuri nitumie tramadol lakin ilikuwa isaidia kwa mtu tu. Labda jitahidi kuwaona madaktari bingwa ktk eneo lako au wakupe refferal uende Muhimbili utapona
Inategemea na lifestyle anayoishi pamoja na family history. Kama ni overweight or obese, hachagui cha kukila, hafanyi mazoezi anaweza kupata hayo matatizo tena hata mapema zaidi na ikiwa matatizo hayo yapo kwenye familia ndio kabisaa.Mtoto Mdogo sana kuwa na Matatizo Hayo, nakushauri kamuone Specialist
Na mm nina hilo tatzo sahv lina miez 6 wakat mwingne ucku huwa naishiwa nguvu mikono inalegea nmepma sukar, presha, wing wa damu vyote vko sawa mpak sahv cjapata tba ukpata naomba nijulishe na mm maana nshajikatia tamaaNdugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Una tatizo la mishipa ya fahamu vegetative nerve system jitahidi kula vyakula vyenye vitaminB kwa wingi na inabidi upate na vidonge vya vitamin B complex au vitamin B12 au kuna moja inaitwa Malgamma compositum utumie vitakusaidia ukishindwa dawa zozote tu za vitamin b jaribNa mm nina hilo tatzo sahv lina miez 6 wakat mwingne ucku huwa naishiwa nguvu mikono inalegea nmepma sukar, presha, wing wa damu vyote vko sawa mpak sahv cjapata tba ukpata naomba nijulishe na mm maana nshajikatia tamaa
Miguu inakufa ganzi inakua na ubaridi na ganzi kwenye mikono msaada tafadhariKuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo
Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Asante sana mkuuJaribu hii, mtu wa m biriti unaifahamu ? Tuanzie hapo Kama huu fahamu haina haja ya kuendelea hapa, na Kama waifahamu, kachimbe mizizi yake, kisha ioshe hiyo mizizi, kisha ichune magamba yake, kisha Yale magamba yaloweke katika beseni kwa muda wa masaa mawili, kisha huyo mgonjwa atumbukize miguu yake ktk beseni lililo na hiyo mizizi iliyolowekwa kwa muda wa lisaa...hii ni tiba
Asanteaende hospital
Vitamin B complex nmeshatumia
Mim tatizo langu miguu inavimba kama mtu aliyekaa kwa muda mrefu bila kunyanyuka na vidole vya mikono navyo hujaa na kufa ganzi ila tatizo hili hutoweka pindi nikilala kwa muda mrefu. Tatizo lilianza nilipougua Thyphod nikiwa mdogo mwaka 2000, msaada please.
Thanx kiongozi.Tafuta specialist Endocrinologist,hematologist watakupa ushauri mzuri zaidi inawezekana ulipata shida nyingine kutoka kwenye dawa ulizotumia au hiyo typhoid yenyewe