Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Muombe daktari akupe referrer ya kwenda kupima electrolytes maabara, kutokana na majibu atakushauri vyakula vya kula pia jitahidi kunywa maji angalau litre mbili kwa siku.
Electrolyte wanaipimaje?
 
Mi nina haya yote uliyoyaeleza. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Peripheral neuropathy

Dawa yake ni neurobin forte kidonge kimoja kila siku kwa mwezi mmoja at least
 
mkuu nipende kuulza na kuongezea hapo kwamba ata nucleo CMR tabs zinazotibu peripheral neuropathy zinafaa
 
yani hii case yako jiran yangu nimemshaur kupima TB maana mapafu yanajaa maji lakini cha ajabu hatak maana anamwamn Dr ake....nafrah angepita hapa
 
Wapendwa naomba mnisaidie jamani nasumbuliwa na. miguu inauma na kuwaka moto hasa kipindi nikiwa siku zangu sina amani kabisa wakati.mwingine nahisi kama visindano vinanitoboa sehemu tofauti tofauti.msaada plz
 
Hospital wakasema je? Au unataka Tiba mbadala? Kama unataka miti ni dawa, fresh tafuta miberiti unalijua? Kama umesoma shule za kayumba hii miti hutumika Kama fimbo, so Kama unaijua...nitakuelekeza cha kufanya hapahapa....muhimu jaribu kwanza hospital
 
Unapatikana wapi
 
Unapatikana wapi
Napatikana wapi Mimi au huo mti? Mimi sipatikani kabisa, Ila mti inapatikana mashuleni uliza MUHENGA yoyote mti wa m biriti atakuwa anaujuwa..

Chukua mizizi, loweka, ichune magamba yake, weka ktk beseni, loweka miguu yako, utaskia maumivu yanavutwa huko yalikokuwa kuja ktk unyayo, vumilia hadi maumivu yaache...kama utajaribu basi tunaomba mrejesho
 
Nenda kachek h.i.v test mkuu kuna jamaa alikua anasumbuliwa hivyo hivyo kuchek kumbe ni hiv
 
Kadhalika namimi wakuu msaada wenu hapa tafadhali, ila mimi nitofauti kidogo, kiuno huwa kinanikaza mala kwa mala nakupata maumivu makali hili tatizo husababishwa nanini!

Msaada wenu wajuzi wamambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…