Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Norshad hakuna mtu anayejua kwa jina hilo plz may yu provide jina njingine hata high nimesearch hakuna
 
Mkuu hii hina inapatikana wapi na matumizi yake yakoje na ufanisi wake ukoje.
Hina inapatikana katika miji ya Pwani Dar,Tanga,unguja na Mombasa uliza hiyo miji utaweza kuipata hina wanapakaa wanawake wakati wanapo olewa nyayoni na mikononi ina faida nyingi sana hina kimatibabu.

 
Mimi nilivimba miguu "Rheumatoid Arthritis"nilipigwa sindano hiyo...inaitwa penadul...ni shida..lazima ushibe kabla ya kudungwa na lazima ulale walau nusu saa ndo uondoke....na mm namshukuru Mungu nipo fresh..
 
Wapendwa naomba mnisaidie jamani nasumbuliwa na. miguu inauma na kuwaka moto hasa kipindi nikiwa siku zangu sina amani kabisa wakati.mwingine nahisi kama visindano vinanitoboa sehemu tofauti tofauti.msaada plz
Vp Manka ulipata dawa
 
Kadhalika namimi wakuu msaada wenu hapa tafadhali,,ila mimi nitofauti kidogo,,,kiuno huwa kinanikaza mala kwa mala nakupata maumivu makali hili tatizo husababishwa nanini!!,,,Msaada wenu wajuzi wamambo
we nenda hospitali kajieleze vizuri, hapa wala hatuoni wala kusikia, ni kusoma tu.
Unaweza ukawa umaumia watu tukachukulia poa
 
Wapendwa naomba mnisaidie jamani nasumbuliwa na. miguu inauma na kuwaka moto hasa kipindi nikiwa siku zangu sina amani kabisa wakati.mwingine nahisi kama visindano vinanitoboa sehemu tofauti tofauti.msaada plz
pia usisahau kupima Kisukari na Ukimwi
 
NAMIMI NINADUKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzis kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi mosuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
 
NAMIMI NINAsiKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzia kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi misuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
nimefanyaa mazoezi lkn wapi hali ile ile
 
Mi niko Arusha na nina tatizo hilo la kuwaka miguu moto na ganzi tutaonanaje?
 
Pole sana mkuu... Mm nilikuwa na hlo tatizo since 2014.....nilihangaika sana.... Nilipima kila kitu bila Kugundua tatizo.... Mwishowe nika give up.....
Kina kipindi yalikuwa yanafululiza kuanzia ninapoamka kitandan hadi ninavyorudi kulala usiku.....

Nilihudhuria maombi just twice nimepona kabisa..... Hadi nasahau kama nilishawahi kusumbuliwa na hiyo hali.....
Hakika Mungu anaweza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…