Wadau mimi nina tatizo la miguu kuuma chini ya kisigino km nimechomwa na kitu cha ncha kali.
Na hii imatokea wakati wa asubuhi nikiamka au nikikaa sehemu kwa muda,nilienda hospital nikapewa dawa aina ya NUROBIAN nimetumia lakini hali bado naombeni msaada.
Tiba yake sasa inakuwaje na pengne nini kisababishi ni nini isijekuwa naendelea kujiumiza?hicho ndicho kikusumbuacho huitwa calcenius spur
kafanye xray ya foot lateral view itakionyesha vizuri, then kama kitakuwa kikubwa huwa wanafanya operation.Tiba yake sasa inakuwaje na pengne nini kisababishi ni nini isijekuwa naendelea kujiumiza?
Ok,nashukuru sana Chinatown nitafanya hivyo soon.kafanye xray ya foot lateral view itakionyesha vizuri, then kama kitakuwa kikubwa huwa wanafanya operation.Hakuna kinacho sababisha hicho, ila ni structure ya mfupa huo ambapo hapo kuna muscles,cartilages na tendons zinakuwa attached,ila sasa kwa wengine vinaendelea kuota na kusababisha kukandamiz either muscle or nerve ndo chanzo cha maumivu
karibu sanaOk,nashukuru sana Chinatown nitafanya hivyo soon.
Pouw unajishughulisha na haya masuala na uko wapi?karibu sana
hapana mie ni mjasiriamali tu ila nilibahatika kupata hii elimu ya mwili wa binadamu (anatomy)Pouw unajishughulisha na haya masuala na uko wapi?
jaribu kuwaona ma neuro surgeons wao watamalizana na wewe nadhani vipimo watakavyo kuandikia ni pamoja na mriWakuu. Nina tatizo la kuuma mgongo miguu kuchoma pamoja na mikono huu n mwaka wa pil nmepima sukar sina wala magonjwa ya znaa ikiwemo ukimwi. Nmeenda hospital nying sana Lkn majib cjapata. Nmetumia dawa nying sana ikiwemo neuron support. Vitamin B. Na dawa nyingine nying lkn bado cjapata nafuu. Naomben msadaa cna furaha ya maisha kbsa
Tafadhali sana naomba namba ya huyo daktari mwenye clinic ya hindumandal. Nimeugua muda mrefuDawa zipi umejaribu?Mimi nina ndg alikuwa na case kama ya kwako.Sikuamini,kuna Dr.anaitwa Sharrif yuko MOI(si rahisi-foleni) lkn alikuwa na clinic Hindu Mandal. alipigwa X-ray,na kwa maelezo ya ki lay man tatizo lilikuwa mishipa. Baada ya X-ray,ikabidi anyukwe sindano za visigino,1 kila kisigino-aaaaah mbona anatembea na viatu vya kuchuchumaa sasa! Nahisi unaweza kuwa na tatizo hilo x 2.
Rakey
Shukran mkuu. Kwa ushaur wako.jaribu kuwaona ma neuro surgeons wao watamalizana na wewe nadhani vipimo watakavyo kuandikia ni pamoja na mri
Ok. Nami Nina tatizo kama la kwako ni MDA mrefu sjapona . Kama utapata Sawa nshirikishe nami nkipata ntakushirikishaWakuu. Nina tatizo la kuuma mgongo miguu kuchoma pamoja na mikono huu n mwaka wa pil nmepima sukar sina wala magonjwa ya znaa ikiwemo ukimwi. Nmeenda hospital nying sana Lkn majib cjapata. Nmetumia dawa nying sana ikiwemo neuron support. Vitamin B. Na dawa nyingine nying lkn bado cjapata nafuu. Naomben msadaa cna furaha ya maisha kbsa
Ok haina shida ndugu!Ok. Nami Nina tatizo kama la kwako ni MDA mrefu sjapona . Kama utapata Sawa nshirikishe nami nkipata ntakushirikisha
Mkuu na mm nina tatizo kama la kwako umeshaponaWadau mimi nina tatizo la miguu kuuma chini ya kisigino km nimechomwa na kitu cha ncha kali.
Na hii imatokea wakati wa asubuhi nikiamka au nikikaa sehemu kwa muda,nilienda hospital nikapewa dawa aina ya NUROBIAN nimetumia lakini hali bado naombeni msaada.
Bado aisee.Mkuu na mm nina tatizo kama la kwako umeshapona
Wewe ni me au ke nataka nikwambiee jinsi mm nilivyopata utaratibuBado aisee.