Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Kinondoni sehemu gani mkuu?
Ukitokea M/nyamala kama unaenda town, baada tu ya kituo cha manyanya kwa mbele kidogo upande wa kulia kuna njia ya vumbi.... sasa walikua mwanzoni kwenye kona ya hiyo njia upande wa kushoto.
 
Ukitokea M/nyamala kama unaenda town, baada tu ya kituo cha manyanya kwa mbele kidogo upande wa kulia kuna njia ya vumbi.... sasa walikua mwanzoni kwenye kona ya hiyo njia upande wa kushoto.
Nashukuru sana mkuu
 
Thankx thankx thankx
 
Kaka jini unalitoa nje ya mwili wa mtu bei gani??
 
Mimi miguu ilianza kuwaka moto kwenye unyago baadae ikapanda kwenye miguu saiv ipo kwenye mapaja.Nimeshauriwa kupima pressure ipo normal,HIV sina na tatzo linazidi tu kuniandama na vidole vya mikono now vinawaka moto hatar.Mimi ni mtu wa mazoez sana nina miaka 32.Npo dilemma
 
Nenda Hospitali kapime Damu yako itaonyesha huenda una upungufu wa Vitamin na Madini mwilini huenda una upungufu wa Madini ya chuma Au upungufu wa Vitamin B12 au Vitamin C utakapo pima ndipo itakapo onyesha Sababu ya maradhi yako unayo umwa.

Dawa zipo za asili lakini huwezi kwanza kupewa dawa za asili pasipo kujulikana chanzo cha maradhi yako uguwa pole Mkuu.
 
Asante sana mkuu.Kipimo hicho kinaitwaje??
 
Asante sana mkuu.Kipimo hicho kinaitwaje??

nina kifaa cha kufanya treatment nyumbani,kinafanya massage ya miguu hilo tatizo hutolisikia tena na kifaa utabaki nacho siku zote


video nashindwa upload ila unaweza kuja pm
 
Habarini wadau, mimi nina tatizo la kuumwa na nyayo, huwa zinaniuma sana haswa ninapo vaa viatu vyenye soli ngumu au soli nyembamba, na hali hutokea sana ninapoamka asubuhi au muda wowote ule nitakapo pumzika, tafadhali mwenye kujua suluhisho naomba msaada.
 
Vitunguu swaumu unapaka au unavitumia veep kaka
 
Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni. Dar
Naweza kukusaidia nina product inaitwa
SUPER GANZI na GANZI OIL
ni dawa ziliyofanya maajabu makubwa hizi dawa ni aina mbili za kunywa kutibu ndani
1.miguu kuwaka moto na kufa ganzi
2. presha (bp)
3. Kisukali
4.kutopata choo kwa wakati
5. Anemia
6.NGIRI AINA ZOTE
8.infection blood

GANZI OIL ni massage oil
Ni dawa ya kuchua mahali popote kwenye GANZI, MIGUU KUWAKA MOTO, KUFUKUZA MAJINI WACHAFU( subian) HUSAIDIA KWA WANAMICHEZO, KUONDOA VIJICHO VYA HUSDA, KIHARUSI

NDANI YA WIKI @3 HUMALIZA TATIZO NA KUTOJIRUDIA RUDIA TENA.

USHARI: kunywa maji mengi atlist 3litre per day

Tuwasiliane +255684765575
 
Asante sana
 
Habarini Ndugu zangu.....naomba msaada kwa anaejua hili

Nilijifungua kwa operation sasa baada ya operation nikawa nachomwa sindano za kupunguza maumivu kwenye mapaja sikumbuki idadi ya sindano. Sasa ni miezi mitatu imepita paja nililochomwa sindano limepata ganzi afu kuna muda nasikia kama sindano zinanichoma kama vile nilivokuwa nachomwa ndo nasikia ivo. Hichi kitu kinaninyima raha maana kila siku zinavyozid kwenda tatizo linazidi kuwa kubwa kila mara hiyo hali inajirufia.

Nilishauliwaa niwe najikanda na barafu nimefanya ivo ila bado hamna mabadiliko.

Msaada please kwa anaejua.
 
Pole, nenda hospital kwa uchunguzi na matibabu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…