Tatizo la mikono kuwa membamba sana wakati ni mtu mzima husababishwa na nini?

AbisaMwmunisi

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Hv nni sababu ya mkono kuwa membamba Sana nawakati wewe nikijana Mkubwa may be una 26yrs au 30yrs?
 
Hicho kichwa cha habari hatareeeee!!
 
Duh... Hongera mliomuelewa ndani ya dakika moja... Mimi nimechukua dakika 15 kumuelewa
 
Mimi hicho kichwa cha uzi hoi!
Ila muda mwingine ukiandika jaribu kupitia kuona kama ulichoandika kipo sawa au la
 
Jaribu mazoezi ya kutefusha mikono waweza fanikiwa kiac
 
Duh, aisee hapo mwalimu wa kiswahili anahitajika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…