AbisaMwmunisi
Member
- Sep 1, 2016
- 12
- 2
Hv nni sababu ya mkono kuwa membamba Sana nawakati wewe nikijana Mkubwa may be una 26yrs au 30yrs?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv nni sababu ya mkono kuwa membamba Sana nawakati wewe nikijana Mkubwa may be una 26yrs au 30yrs?
Uandishi wake ni shidaMikono hii miwili au mkono 'mkono'!??
Mwembamba pia ila kiasi.Mwili nao vipi?
Basi ndivyo ulivyo huna budi kumshukuru Mungu kwa alivokuumba.Mwembamba pia ila kiasi.
Hamna Jinsi yakuongezea kidogo au nifanyeje ili ihongezeke kidogo.Basi ndivyo ulivyo huna budi kumshukuru Mungu kwa alivokuumba.
punyeto hizo pnguza tafadhali kwa afya yako kijana1Hv nni sababu ya mkono kuwa membamba Sana nawakati wewe nikijana Mkubwa may be una 26yrs au 30yrs?
Hakuna jinsi,jikubali tu.Hamna Jinsi yakuongezea kidogo au nifanyeje ili ihongezeke kidogo.
sijakuelewa mkuuHv nni sababu ya mkono kuwa membamba Sana nawakati wewe nikijana Mkubwa may be una 26yrs au 30yrs?
beba chumaHamna Jinsi yakuongezea kidogo au nifanyeje ili ihongezeke kidogo.