George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mpendwa Mteja wetuAina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
TANESCO
Mimi huu ni mwaka wa pili toka nime report tatizo langu kama hili. Tena nilifika mpaka ofisin physically. Nilipewa reference namba ya tatizo langu wakadai watatuma mafundi. Mafundi walikuja baafa ya siku tatu lakini hawakuwa na Suluhisho lolote. Wakaniwekea umeme kwa kupitia meter yenyewe. Wakadai waatarudi kushughulikia tatizo. Ila mpaka leo hawajaja na huu ni mwaka wa pili sasa. So umeme ukiisha naweka kupitia meter ambapo si sawa na ni hatari sana. Kama sipo basi wanalala giza.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Mmmmh, jamaa hatari!Mimi hu ni mwaka wa pili toka nime report tatizo langu kama hili. Tena nilifika mpaka ofisin physically. Nilipewa reference namba ya tatizo langu wakadai watatuma mafundi. Mafundi walikuja baafa ya siku tatu lakini hawakuwa na Suluhisho lolote. Wakaniwekea umeme kwa kupitia meter yenyewe. Wakadai waatarudi kushughulikia tatizo. Ila mpaka leo hawajaja na huu ni mwaka wa pili sasa. So umeme ukiisha naweka kupitia meter ambapo si sawa na ni hatari sana. Kama sipo basi wanalala giza.
Hatari sana. Binafsi nimesha acha kuwafatilia na namba ya taarifa ilishapoteaMmmmh, jamaa hatari!