wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Shukrani sana mkuu ntafanyia kazi ushaur wakokama ataendelea kusumbuliwa apeleke tatizo lake utawala wa chuo alafu atapewa barua ambayo itamuwezesha kwenda ofisi ya board mkoa tatizo lake litakwisha mkuu.
Loan officer mpk leo ameongea nae maw amemwambia aendelee kusubir siunajua maisha magumu bla boom ndo mana anakata tamaa je afanyeje? Au atumie iyo shortcut?? Mana kesho kesho zimekua nying kutoka kwa loan officeraende kwa loan officer wa chuo chake apewe barua apeleke mwenyewe au chuo kitampelekea ila apeleke mwenyewe kuharakisha mambo awahi kabla hawajaanza kupanga bajeti
aende helsb watamwambia cha kufanya inaonekana hapo chuon bureaucracy nyingi aende ila watamrudisha kwa officer wake lakin akiwa na ufumbuzi,asisahau kitambulisho na details nyingne watamuuliza na naiman ataweza kujibuLoan officer mpk leo ameongea nae maw amemwambia aendelee kusubir siunajua maisha magumu bla boom ndo mana anakata tamaa je afanyeje? Au atumie iyo shortcut?? Mana kesho kesho zimekua nying kutoka kwa loan officer
Hakufanya transfer...VIP wewe ilichukua mda gan kupata ?Asikate tamaa hata mimi mwaka wa kwanza tu semester ya kwanza bum la quarter two jina halikuja na jina kutumwa bodi,bodi wakasema 'lonee is not registered' while nilisajiliwa chuoni mapema tu lakini wiki hii j3 yamekuja yote cha msingi afuatilie kwa loan board officer wa chuo anachosoma na kama alifanya transfer anatakiwa apewe barua na principal wa chuo husika aende nayo Tcu then Tcu watampa barua aende loan board na tatizo lake litashughulikiwa kwa urahisi na atapata kwa mda mfup tu
Shukran mkuu na wote mliochangia mawazo yenu..Asikate tamaa hata mimi mwaka wa kwanza tu semester ya kwanza bum la quarter two jina halikuja na jina kutumwa bodi,bodi wakasema 'lonee is not registered' while nilisajiliwa chuoni mapema tu lakini wiki hii j3 yamekuja yote cha msingi afuatilie kwa loan board officer wa chuo anachosoma na kama alifanya transfer anatakiwa apewe barua na principal wa chuo husika aende nayo Tcu then Tcu watampa barua aende loan board na tatizo lake litashughulikiwa kwa urahisi na atapata kwa mda mfup tu