Tatizo la mkopo HESLB

Tatizo la mkopo HESLB

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Habari wanajamii
Kuna tatizo limemkuta dada yetu yuko mwaka wa pili anasoma pharmacy ...wakat anaingia mwaka wa pili semister ya kwanza jina lake halikuja katika loan so hakupata na alivofatilia kwa loan officer wa chuo ni kila siku ahad mpk sasa semister omeanza nyingine hakijaeleweka naomben ushaur wenu juu ya tatzo hli.
Shukrani
 
mpe pole sana dada,Lakini ayo nimatatizo ambayo uwa yanajitokeza afadhali uyo mwaka wa pili Kuna wengine mwaka wa kwanza tu semester ya pili mkopo jina linazingua mwambie avumilie na aendelee kufatilia atapata pesa zake tu.
 
Nashukuru ndugu ...kwahyo aendelee kuvumilia au kuna njia yoyote ili aweze kupata?
 
mpe pole sana dada,Lakini ayo nimatatizo ambayo uwa yanajitokeza afadhali uyo mwaka wa pili Kuna wengine mwaka wa kwanza tu semester ya pili mkopo jina linazingua mwambie avumilie na aendelee kufatilia atapata pesa zake tu.
 
aendelee kufatilia kwa loan officer japo uwa wanazingua ila mwisho wa siku atapata pesa zake.
 
kama ataendelea kusumbuliwa apeleke tatizo lake utawala wa chuo alafu atapewa barua ambayo itamuwezesha kwenda ofisi ya board mkoa tatizo lake litakwisha mkuu.
 
Shukrani sana mkuu ntafanyia kazi ushaur wako
 
aende kwa loan officer wa chuo chake apewe barua apeleke mwenyewe au chuo kitampelekea ila apeleke mwenyewe kuharakisha mambo awahi kabla hawajaanza kupanga bajeti
 
Loan officer mpk leo ameongea nae maw amemwambia aendelee kusubir siunajua maisha magumu bla boom ndo mana anakata tamaa je afanyeje? Au atumie iyo shortcut?? Mana kesho kesho zimekua nying kutoka kwa loan officer
 
aende helsb watamwambia cha kufanya inaonekana hapo chuon bureaucracy nyingi aende ila watamrudisha kwa officer wake lakin akiwa na ufumbuzi,asisahau kitambulisho na details nyingne watamuuliza na naiman ataweza kujibu
 
Asikate tamaa hata mimi mwaka wa kwanza tu semester ya kwanza bum la quarter two jina halikuja na jina kutumwa bodi,bodi wakasema 'lonee is not registered' while nilisajiliwa chuoni mapema tu lakini wiki hii j3 yamekuja yote cha msingi afuatilie kwa loan board officer wa chuo anachosoma na kama alifanya transfer anatakiwa apewe barua na principal wa chuo husika aende nayo Tcu then Tcu watampa barua aende loan board na tatizo lake litashughulikiwa kwa urahisi na atapata kwa mda mfup tu
Hakufanya transfer...VIP wewe ilichukua mda gan kupata ?
 
Hapo hakuna kuzunguka sehemu mbalimbali.
Anatakiwa anyanyue mguu kuelekea ofisi za bodi ya mikopo ilioko Mwenge Dar es salaam. Kuna 'masenior'loan offiers. Pale watamueleza tatizo ni nini na kipi kifanyike kutatua tatizo.
Wengi walikua na matatizo kama hayo,na walifanikiwa kwa kufika ktk ofisi za bodi.
 
Bodi ya mikopo ina ombwe la uongozi. Wafanyakazi wanafanya kazi kwa mazoea...mimi nina mpango wa kuwaburuza mahakamani kwa kukiuka mkataba wa ukopeshaji
 
Asikate tamaa hata mimi mwaka wa kwanza tu semester ya kwanza bum la quarter two jina halikuja na jina kutumwa bodi,bodi wakasema 'lonee is not registered' while nilisajiliwa chuoni mapema tu lakini wiki hii j3 yamekuja yote cha msingi afuatilie kwa loan board officer wa chuo anachosoma na kama alifanya transfer anatakiwa apewe barua na principal wa chuo husika aende nayo Tcu then Tcu watampa barua aende loan board na tatizo lake litashughulikiwa kwa urahisi na atapata kwa mda mfup tu
Shukran mkuu na wote mliochangia mawazo yenu..
Mrejesho...Dada week iliyopita pesa yake ilifika na juma nne akasaini ...tatzo limekwsha now anasikilizia account isome tu
 
Back
Top Bottom