:-( tatizo la mkopo :-(

:-( tatizo la mkopo :-(

stan b

Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
85
Reaction score
10
wana Jf nlckia kuna safari ya kwenda kwa wazr mkuu leo kwa wale walokosa mkopo, naomba mnijuze klchojir huko
 
Waliandika barua wakaiwasilisha, wameambiwa majibu ni jumatatu tar.3.
 
Waliandika barua wakaiwasilisha, wameambiwa majibu ni jumatatu tar.3.
asante mkuu tuko pa1, na uko makin sn, uli2juza hata kaul ya JK juu ya hii ishu, asante kwa hlo pia.
 
Back
Top Bottom