kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
DR Mambo Jambo ushauri tafadhariHabari wakuu
Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri
Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila mwezi anafuata hospital dawa za moyo ,na haipiti wiki 2 anaumwa,kaniuliza je akimuoa si atajikuta anatumia muda mwingi kumtibu na vp akibeba mimba kuna risks zozote
Ahsante
Hivi kweli kuna magonjwa wa moyo wanapewa dozi zikiisha tena wanapewa zingineMwambie atafute dawa inaitwa metabon itamsaidia sana!!nenda Facebook search metabon ,japo ni gharama lakini atapona!!
Mzee lets ushauriMungu nisaidie nipitee kimyaaaa
Shauriana nae kwanza haya mambo yote.Habari wakuu
Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri
Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila mwezi anafuata hospital dawa za moyo ,na haipiti wiki 2 anaumwa,kaniuliza je akimuoa si atajikuta anatumia muda mwingi kumtibu na vp akibeba mimba kuna risks zozote
Ni Vizuri zaidi akaenda huko Clinic anakohudhuria Binti, akakutana na Daktari wa Binti wakashauriana Njia Nzuri ipi Ya kumuhudumia binti akiwa kwake na Hasa Njia ipi ya Kuwa naye..DR Mambo Jambo ushauri tafadhari