Tatizo la Moyo kwa mke mtarajiwa

Tatizo la Moyo kwa mke mtarajiwa

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Habari wakuu

Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri

Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila mwezi anafuata hospital dawa za moyo ,na haipiti wiki 2 anaumwa,kaniuliza je akimuoa si atajikuta anatumia muda mwingi kumtibu na vp akibeba mimba kuna risks zozote
 
DR Mambo Jambo ushauri tafadhari
 
Mwambie atafute dawa inaitwa metabon itamsaidia sana!!nenda Facebook search metabon ,japo ni gharama lakini atapona!!
 
Habari wakuu

Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri

Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila mwezi anafuata hospital dawa za moyo ,na haipiti wiki 2 anaumwa,kaniuliza je akimuoa si atajikuta anatumia muda mwingi kumtibu na vp akibeba mimba kuna risks zozote
Shauriana nae kwanza haya mambo yote.

Afu, check kama hilo tatizo linatibika. Consult physician.

Usijeona afu ukamtesa mtoto wa watu kwenye ndoa.
 
ukifata wema amuoe lkn ukitumia akili hesabu zinagoma na hili sio jambo lakusema unamnyanyapaa!,ni swala la usalama wa huyo bidada pia maana huenda akafa hata wakati wa sex maana moyo hupushi damu sana nyakati kama hizo!.. what if heart will fail during sex..?
also as you say about pregnant..?
kindly if he will choose to mary her they have to make sure their most friends are doctors!.
 
Ni Vizuri zaidi akaenda huko Clinic anakohudhuria Binti, akakutana na Daktari wa Binti wakashauriana Njia Nzuri ipi Ya kumuhudumia binti akiwa kwake na Hasa Njia ipi ya Kuwa naye..

Hakuna Kitu kinashindikana, Wapo watu wanaishi na watu wenye Pace maker na wengine wana Tobo kwenye Moyo lakini wanaishi muda mrefu..
Cha msingi Akapate ushauri kwa Daktari anayemtibu Mpenz wake
 
Back
Top Bottom