mkuu ndio ni tatizo hilo, fanya kufika hospitali kwa msaada zaidi.Habari wakuu
Kama kichwa hapo juu, huwa napata maumivu kama kichomi kwenye moyo(ziwa la Kushoto) wakati nafanya mazoezi, mfano kama ya kukimbia au kuruka kamba huwa inaniuma sana, je yawezekana ni tatizo au? Na kama ni tatizo kipi nifanye ili kukabiliana na hili tatizo?
Shukrani
Una uzito wa kilo ngapi na una urefu gani?Habari wakuu