Tatizo la moyo

Tatizo la moyo

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
244
Habari wakuu

Kama kichwa hapo juu, huwa napata maumivu kama kichomi kwenye moyo(ziwa la Kushoto) wakati nafanya mazoezi, mfano kama ya kukimbia au kuruka kamba huwa inaniuma sana, je yawezekana ni tatizo au? Na kama ni tatizo kipi nifanye ili kukabiliana na hili tatizo?

Shukrani
 
Ushaconclude kuwa ni tatizo la moyo sasa sisi unataka tukushauri nini sasa?
 
Habari wakuu

Kama kichwa hapo juu, huwa napata maumivu kama kichomi kwenye moyo(ziwa la Kushoto) wakati nafanya mazoezi, mfano kama ya kukimbia au kuruka kamba huwa inaniuma sana, je yawezekana ni tatizo au? Na kama ni tatizo kipi nifanye ili kukabiliana na hili tatizo?

Shukrani
mkuu ndio ni tatizo hilo, fanya kufika hospitali kwa msaada zaidi.
Linatibika kirahisi tu.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri, maana nilikuwa nadhani labda ni matokeo ya mazoezi labda nazidisha.
 
Habari wakuu

Kama kichwa hapo juu, huwa napata maumivu kama kichomi kwenye moyo(ziwa la Kushoto) wakati nafanya mazoezi, mfano kama ya kukimbia au kuruka kamba huwa inaniuma sana, je yawezekana ni tatizo au? Na kama ni tatizo kipi nifanye ili kukabiliana na hili tatizo?

Shukrani
Una uzito wa kilo ngapi na una urefu gani?
 
Sitaki kusikia mambo ya tatizo la moyo. Linanipa uchungu. RIP mama yangu
 
Back
Top Bottom