Tatizo la mpakani Tunduma ni Hujuma?

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,852
Reaction score
931
Watanzania inatakiwa tuanze kujifunza kuwa serious kama tunataka maendeleo. Hali ya mpaka wa Tunduma ambao hutumika na nchi nyingi za jirani siyo shwari kabisa. Tokea juzi mpaka hauna umeme na genereta iliyokuwepo imeharbika.Upande wa Zambia umeme upo kama kawaida. Inachukua nini kuitengeneza genereta au kununua nyingine? Wanasema eti wanasubiri kibali. Magari yanandelea kulundikana na hasira za wasafirishaji mizigo zinazidi kupanda.

Nionavyo mimi hii ni hujuma. Tukumbuke kuwa-nchi nyingi zilizokuwa zinatumia zaidi bandari ya DSM polepole zinajitoa na kuanza kutumia bandari za kusini mwa Africa

Kwa leo tunaomba TRA watutatulie tatizo lililopo
 
Ni aibu,mtu mzigo wake umekaa ICD siku kibao,na storage ya nguvu kapigwa,then anakwamishwa tena boarder eti kisa generator mbovu hakuna umeme,kweli hii Tanzagiza.
 
Mwenye simu za wakuu wa TRA tafadhali
 
Na profesa Muhongo ndio kwanza anataka apeleke maombi ya kuuziwa umeme kutoka ethiopia, wakikataa ndio basi tena, kweli Tanzania inanunua umeme Ethiopia? Wao juzi tu hapa lilikuwa taifa lenye tafrani kibao leo sie ndio wa kuwatehemea wao? na rasilimali zote tulizonazo? Sijui kosa letu watanzania ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…