Watanzania inatakiwa tuanze kujifunza kuwa serious kama tunataka maendeleo. Hali ya mpaka wa Tunduma ambao hutumika na nchi nyingi za jirani siyo shwari kabisa. Tokea juzi mpaka hauna umeme na genereta iliyokuwepo imeharbika.Upande wa Zambia umeme upo kama kawaida. Inachukua nini kuitengeneza genereta au kununua nyingine? Wanasema eti wanasubiri kibali. Magari yanandelea kulundikana na hasira za wasafirishaji mizigo zinazidi kupanda.
Nionavyo mimi hii ni hujuma. Tukumbuke kuwa-nchi nyingi zilizokuwa zinatumia zaidi bandari ya DSM polepole zinajitoa na kuanza kutumia bandari za kusini mwa Africa
Kwa leo tunaomba TRA watutatulie tatizo lililopo