VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Wakuu nina tatizo hili kwa mda wa miaka mnine huwa sometime ikitokea tumbo huwa linavulugika na kuharisha sana , misuri ya korodani ya kushoto huvimba kidogo, mara nyingine ikitokea maumivu ya kichwa, tumbo yanakuwa makari sana na nirishaenda hospital mara nyingi nishapima vipimo vingi vya STDSs, ultrer sound lakini hawakuona tatizo lolote , kuna kipindi kimoja ibana nikaenda hospitari ya mkoa flani wakapima na dactari asema tunaweza kukukipiga surgery kama unataka lakini mm naona tatizo lako liko stage za mwanzo kabisa akashauri hakuna haja ya kukufanyia surgery .
Lakini hili tatizo huwa linanifanya nisiweconfortable kabisa hasa linapotoke jamani nahitaji msaada wa mawazo na ushauri wenu wadau.
Lakini hili tatizo huwa linanifanya nisiweconfortable kabisa hasa linapotoke jamani nahitaji msaada wa mawazo na ushauri wenu wadau.