Tatizo la mtoto kupiga kelele usiku, naomba msaada

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu naomba mnisaidie kila ifikapo saa nane usiku mwanangu wa kiume wa miaka saba anapiga kelele sana kama kuna mtu anayemvamia.

Naomba mwenye msaada wa nini kisababishishi anisaidie. Ili kulituliza inabidi nimuombe akumbatie biblia.

Inanitesa sana.
 
Aisee ishu kama hii ilishawahi tokea kwa mtoto wangu,nlipomueleza rafiki yangu kama utani akaniambia nitafute Bangi kidogo niwe nawasha chumbani usiku.Huwezi amini kile kilio cha mtoto kila siku usiku kilikata.
Jaribu hilo zoezi kama hotojali!
 
Nashukuru kwa msaada wako sasa hiyo bangi muda huu na polisi wetu hawa mhh.
Unaichomea wapi chumbani au nyumba nzima?
 
Inaonekana anapenda sana kucheza hadi kupitiliza au kutizama cd za move za kivita
 
Inaonekana anapenda sana kucheza hadi kupitiliza au kutizama cd za move za kivita

Kaka unaweza kuwa sahihi lakini scream yake inakuwa bala mpaka nashindana naye ila muda nikimpiga mambo ya mungu anabielewa na kunisikiliza wnakumbatia bibilia na tunaendele kumtukuza mungu
 
Haya ni mambo ya giza sali sana kabla ya hujalala sababu inasemekana watoto wachanga wanauweza wa kuona vitu vya giza (wizards).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…