Tatizo la mtoto kuvimba kitovu baada ya kukatwa vibaya

Tatizo la mtoto kuvimba kitovu baada ya kukatwa vibaya

Kuhusu kuzungushia plasta kwenye coin, daktari mmoja wa watoto bado alikataa utaratibu huu japo coin imezungushiwa plasta. Hata hivyo, alitoa njia mbadala akipendekeza kumvisha mtoto kaptula au bukta yenye
mkanda mpana utakaofunika kitovu.
Ndugu christmas ni vyema ukampeleka mtoto akaonwe na daktari kama ilivyopendekezwa hapa.
mkuu Lazydog kitovu kimetuna na kuhusu kuwapo na kidonda hapana kwani pamekauka na kufunga kabisa
Ndugu yangu christmas nakushauri utafute namana ya kukibana kitovu kirudi kwa ndani kwani kuna nafasi au tundu ambalo halitoi hewa wala uchafu (Kwa hiyo kitovu kitarudi kwa ndani) wazo zuri nini hilo la mikanda. Hapa Dodoma kuna Dr mmoja wa kipare anashughulika na hiyo mikanda na ndiye aliyenishauri nitumie coin au mfanowe km siwezi kununua mkanda huo
niko tayari kukupatia No za huyo Dr wa viuongo bandia
 
Kwa kweli hata mwanangu wa 9 months ana tovu kubwa. yaan akilia au akiwa anasimama kitovu kinavimba, nakosa raha kbsa na tovu lake, pacha wake yuko sawa tu kitovu cha kawaida
 
Kwa kweli hata mwanangu wa 9 months ana tovu kubwa. yaan akilia au akiwa anasimama kitovu kinavimba, nakosa raha kbsa na tovu lake, pacha wake yuko sawa tu kitovu cha kawaida

mkuu nakuona jinsi unavyokosa raha kabisa na tovu lake.
 
Ndugu yangu christmas nakushauri utafute namana ya kukibana kitovu kirudi kwa ndani kwani kuna nafasi au tundu ambalo halitoi hewa wala uchafu (Kwa hiyo kitovu kitarudi kwa ndani) wazo zuri nini hilo la mikanda. Hapa Dodoma kuna Dr mmoja wa kipare anashughulika na hiyo mikanda na ndiye aliyenishauri nitumie coin au mfanowe km siwezi kununua mkanda huo
niko tayari kukupatia No za huyo Dr wa viuongo bandia

Mkuu washauri watu wazingatie ushauri wa Dr Riwa kwani ni wa kitaalamu tupu.
Kawaida umbilical hernia hufunga yenyewe kadri muda unavyoenda unless ikileta complications.
 
Last edited by a moderator:
Mimi wa kwangu doctor aliniambia ni tundu na hii inasababisha na ukataji mbaya wa manurse hivyo akanishauri nitafute shilingi kumi nimfunge na bandage paka sasa hivi yupo powa kabisa kitovu kimerudi ndani na hana tatizo tena. Hii nimeona hata kwa jirani yangu naye alifanya hivi na mtoto wake yupo vizuri kabisa. Na ilichukua kama mwezi hivi kufunga ilimradi tu maji yasiguse pale .
 
mgusi mukulu ... sidhani kama ni sahihi kutumia jina la Daktari kuhalalisha hisia zako. Hakuna Daktari chini ya jua ambaye atalaumu nesi aliyekata kitovu kwa mtoto kuwa na kitovu kikubwa, unless Daktari huyo hakusoma 'Embryology' wakati akiwa chuoni. Umbilical hernia ni embryological defect wala haihusiani chochote na kukata kitovu, na kila mwenye taaluma sahihi ya afya anafahamu hilo. Na wala hiyo defect haitibiwi kwa kufunga coin au sijui mikanda gani tumboni. Mnaumiza watoto wenu bure kwa desperation yenu kama wazazi. Hata kama unachukia mwanao kuwa 'tovu' kubwa (kama mmoja alivyosema hapo juu) bado kuhatarisha maisha yake zaidi hakutatibu hilo tovu. Njia sahihi nimeshashauri kwenye posti zangu zilizopita.
 
mkuu Lazydog kitovu kimetuna na kuhusu kuwapo na kidonda hapana kwani pamekauka na kufunga kabisa
UKItaka Ubaya ... kwa mtoto wa miezi mi4 nachelea kusema kwamba ni tatizo. Sababu mara nyingi kende hutofautiana size, japo si sana. Kama zikitofautiana sana, sababu yaweza kuwa infection (kama mwanao ana dalili nyingine za infection kama swelling, pain, fever), au hydrocele (busha, kuna congenital hydrocele) ambayo si kende huvimba bali mfuko wa kende hujaa maji, na torsion/twisting ya kende wakati ikishuka during its development. Kama tofauti ni ndogo huna haja ya kuhofu, kama ni kubwa sna basi daktari amuone.
Samahani DR riwa naomba kufahamu gharama za upasuaji
 
Back
Top Bottom