Tatizo la mtoto kuzaliwa akashindwa kupumua vyema hadi kuwekewa oxygen

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
803
Wakuu wasalaam,
Tafadhali naombeni kujuzwa sababu inayopelekea tatizo la mtoto kuzalia akapatwa na shda ya kupumua vyema na kulazimu kuwekewa oxygen haraka ili kumsaidia kupumua.
Na je solution yake huwa ni nini.

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…