R rankeez Member Joined May 6, 2013 Posts 17 Reaction score 0 May 16, 2013 #1 Nina tatizo la mmba kichwa yaani hili gonjwa ninalo muda mrefu nimetumia dawa nyingi lakini cjapona naomba ushauri wenu wa kupata dawa
Nina tatizo la mmba kichwa yaani hili gonjwa ninalo muda mrefu nimetumia dawa nyingi lakini cjapona naomba ushauri wenu wa kupata dawa
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,155 Reaction score 445 May 16, 2013 #2 Search humu jf, zipo threads nyingi zinazojadili tatizo kama lako.