monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Habari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave
Nikashauriwa kutumia magic powder tatizo likaisha ila kinachonisumbua kwa sasa nikifuga ndevu zaidi ya wiki moja kidevu kinawasha sana na vipele vinachomoza hali hii hukoma mpaka ninaponyoa ndevu na magic powder na vipele hukauka
Hali hii inaninyima raha sababu nashindwa kabisa kufuga ndevu je tiba ya tatizo hili ni nini?