monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Tatizo langu si la kiimani pia sina imani na manabii fekiJaribu mafuta ya mwamposa! Pakaa kidevuni
Ahsante kwa ushauriKumbe karne hii bado watu wananyolea wembe.
Dawa usiwe unanyoa tako kwenye kidevu sbb nywele zinaotea ndani ya ngozi ndo sbb kuu ya kuleta vipere vya majipu, na usinyolee viwembe
OR
Fuga mzuzu harafu tafuta dawa ya kupaka kwenye ndevu ziwe laini jina nimelisahau ni elf 15 ivi, ili zisiwe zinakuwasha.
Hari ikiendelea muone mtaaalamu wa ngozi( specialist wa ngozi) atakupa ushauri zaidi
ayapigie nyento atapona kbsJaribu mafuta ya mwamposa! Pakaa kidevuni
Mafuta ya chereaniHabari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave
Nikashauriwa kutumia magic powder tatizo likaisha ila kinachonisumbua kwa sasa nikifuga ndevu zaidi ya wiki moja kidevu kinawasha sana na vipele vinachomoza hali hii hukoma mpaka ninaponyoa ndevu na magic powder na vipele hukauka
Hali hii inaninyima raha sababu nashindwa kabisa kufuga ndevu je tiba ya tatizo hili ni nini?