kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Habarini za jioni wanajukwaa
Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho
Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno.
Ningependa kufahamu, changamoto ipo kwenye device ipi?? na nawezaje kusolve hii shida ikiwemo GHARAMA zake
Nina matumizi makubwa na ya umuhimu Sana na hii kompyuta.
Naomba kuwasilisha.