kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hapo sijakupata, hakuna wino?Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno.
Shida imeanza baada ya kompyuta kuangukaHapo sijakupata, hakuna wino?
Jaribu kuupdate drivers, kwa mafundi huwa wanazo driver packs solutions
Hapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware.Shida imeanza baada ya kompyuta kuanguka
Inaweza ikawa ni tatizo la driver??
Ok, daah ikiwa kioo itakuwa jau sanaHapo hapana, hapo limerudi kwenye hardware.
Na mi nna akili ya software zaidi, hayo mengine kidoooogo sana.
Mpelekee fundi, anaweza shauri kubadili mkanda au kioo au kingine, mtaalamu atajua tu.