Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Habari zenu wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, Kuna hii hali ambayo ninayo nahisi si ya kawaida nahitaji ushauri wenu.
Toka nipo shule ya msingi wenzangu walikua wakiniambia kuwa mimi ni wabaridi sana kuanzia mikononi na mwili kiujumla na kipindi cha mvua hawakutaka kabisa niwasogelee.
Hata nikishikana mkono na mtu lazima ataniuliza, we mbona wa baridi? Au mwingine ananiuliza ulikua umeshika maji?. Hata mpenzi wangu ambaye nipo naye huwa ananiambia sana kuhusu hii hali ya ubaridi niliyo nayo.
Je hii hali inasababishwa na nini? Na nifanye kitu gani kuondokana na hii hali? . Ahsanteni.
Mimi mwenyewe naona Niko kawaida, watu ninaokutana nao ndio huwa wananiambia.Siyo kweli labda haujajitambua tu, kwani mwili ukiwa wa baridi maana yake unaanza kufa, mtu anayeanza kufa mwili huwa baridi kidogo kidogo na mwishowe mwili mzima.
Hivyo siyo kweli kwamba una mwili baridi kwani hakuna binadamu aliye hai ambaye ana mwili baridi!
acha kuwasikiliza hao wanaokuambia hivyo.Mimi mwenyewe naona Niko kawaida, watu ninaokutana nao ndio huwa wananiambia.
Habari zenu wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, Kuna hii hali ambayo ninayo nahisi si ya kawaida nahitaji ushauri wenu.
Toka nipo shule ya msingi wenzangu walikua wakiniambia kuwa mimi ni wabaridi sana kuanzia mikononi na mwili kiujumla na kipindi cha mvua hawakutaka kabisa niwasogelee.
Hata nikishikana mkono na mtu lazima ataniuliza, we mbona wa baridi? Au mwingine ananiuliza ulikua umeshika maji?. Hata mpenzi wangu ambaye nipo naye huwa ananiambia sana kuhusu hii hali ya ubaridi niliyo nayo.
Je hii hali inasababishwa na nini? Na nifanye kitu gani kuondokana na hii hali? . Ahsanteni.
Wengine hamna shida, Tatizo hadi shemeji yako analalamika.acha kuwasikiliza hao wanaokuambia hivyo.
pole, upo maeneo ya baridi?Wengine hamna shida, Tatizo hadi shemeji yako analalamika.
Shukran. Nipo mwanza aisee, Full joto.pole, upo maeneo ya baridi?
Ila nipo hivyo toka zamani, ina maana sukari ilianza kushuka toka zamani?Sukari inashuka sana!
Wahi hospitali
Aisee. Kumbe tupo wengi.Hili tatizo ni kweli lipo,mimi mwenyewe linanitokea mst of the time ninakua na mikono barid na mda mwingine inakua inatoka jasho,na mda mwingine wakati wa barid inakua vice versa mikono inakua warm .Nilijaribu kugoogle hili tatizo nimeona lipo na tiba pia ipo sema ni mpka ughaibuni huko..
VP mwenzi wako halalamiki??Hiyo hali hata mimi ninayo,ila sijawahi kuichukulia kama tatizo,nipo poa kabisa