Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Habari zenu wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, Kuna hii hali ambayo ninayo nahisi si ya kawaida nahitaji ushauri wenu.
Toka nipo shule ya msingi wenzangu walikua wakiniambia kuwa mimi ni wabaridi sana kuanzia mikononi na mwili kiujumla na kipindi cha mvua hawakutaka kabisa niwasogelee.
Hata nikishikana mkono na mtu lazima ataniuliza, we mbona wa baridi? Au mwingine ananiuliza ulikua umeshika maji?. Hata mpenzi wangu ambaye nipo naye huwa ananiambia sana kuhusu hii hali ya ubaridi niliyo nayo.
Je hii hali inasababishwa na nini? Na nifanye kitu gani kuondokana na hii hali? . Ahsanteni.