johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyombo vya habari vya kuendesha michezo ya kamari havina maana yoyote bora vifutwe wote tuanze upya.Hao ni watu wanaoandika habari lakini siyo waandishi wa habari. Waandishi wa habari wana ethics zao. Hao wanaoandika upotoshaji au kuamua jambo fulani waandike au wasiandike, ni kundi fulani la watu wanafiki waliamua kujitumbukiza kwenye tasinia ya habari kutimiza malengo yao.
Vyama vya siasa, havina haja ya kuwa na vyombo vya habari, labda vyombo vya propaganda za siasa za vyama vyao.
Nchi yetu, kwa kiasi kikubwa inakosa vyombo vya habari katika maana halisi. Vingi vilivyopo vinatumila kama vyombo vya propaganda vya chama tawala au vinasubiri kutumika na chama tawala ili kupata manufaa binafsi.
Tbc haswa fm hakuna content Tena , ni mwendo wa cheza pesa , umbea umbea na majungu ... Yaani topic hot labda ni mambo ya mapenzi mapenzi na kamari tu. Na pia ukiwasikiliza watangazaji wengi utagundua Kuna vitu Wana mis sana vya kitaaluma na wengi ni weupe kichwani.Vyombo vya habari vya kuendesha michezo ya kamari havina maana yoyote bora vifutwe wote tuanze upya.
Ni kweli vyombo vya habari kwa sasa vimepoteza maana, 24 hrs wanaongelea kamari, mpira, Mziki na mapenzi hawatoki kwenye hizo mada.Tbc haswa fm hakuna content Tena , ni mwendo wa cheza pesa , umbea umbea na majungu ... Yaani topic hot labda ni mambo ya mapenzi mapenzi na kamari tu. Na pia ukiwasikiliza watangazaji wengi utagundua Kuna vitu Wana mis sana vya kitaaluma na wengi ni weupe kichwani.
Inatia hasira sana .. hakuna hata kujadili critical issues za kitaifa kwa maslahi mapana ya nchi. Mwendo ni kujadili Mambo ambayo hayana msaada kwa jamii in long runNi kweli vyombo vya habari kwa sasa vimepoteza maana, 24 hrs wanaongelea kamari, mpira, Mziki na mapenzi hawatoki kwenye hizo mada.
Wakibadili sana ni matukio ya kawaida ya viongozi na matukio jinai.
Lakini kila baada ya dakika moja kuna tangazo la kamari.
Vyombo vya namna hii bora vifutwe tu, tuanze upya.
Mafisadi walioshika madaraka walianza na kuvitisha, kuvihonga na kuvifiisi vyombo vya habari ili visiweze kufichua Madudu yao. Siku hizi karibu kila gazeti kwenye front page lazima yaweke habari ya kumsifia Samia. Radio one hao kila baada mda lazima waweke nukuu za Samia. Njaa kitu kibaya sanaNi ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni
Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi
Nawatakia Dominica Njema!
Dah kama tibisii ndio propaganda state media .. Kuna yule mzee wa tafakuri dah sijui analipwa kwa kazi ile . Kusifia kila kitu Cha serikali hata kama hakihitaji sifa.[emoji848]Mafisadi walioshika madaraka walianza na kuvitisha, kuvihonga na kuvifilOisi vyombo vya habari ili visiweze kufichua Madudu yao. Siku hizi karibu kila gazeti kwenye front page lazima yaweke habari ya kumsifia Samia. Radio one hao kila baada mda lazima waweke nukuu za Samia. Njaa kitu kibaya sana
Kwa Sheria zipi ili waanzishe vyombo vyao vya habari viweze kuwa na maana!Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni
Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi
Nawatakia Dominica Njema!
Inasikitisha sana na sijui hali hii umesababishwa na nini 2007 hadi 2015 vyombo vya habari vilikuwa serious sana imekuwaje vimebadilika na kuwa na macasino ya kuchezesha kamari ??Inatia hasira sana .. hakuna hata kujadili critical issues za kitaifa kwa maslahi mapana ya nchi. Mwendo ni kujadili Mambo ambayo hayana msaada kwa jamii in long run
Social media happened. Smartphones zimezagaa sanaInasikitisha sana na sijui hali hii umesababishwa na nini 2007 hadi 2015 vyombo vya habari vilikuwa serious sana imekuwaje vimebadilika na kuwa na macasino ya kuchezesha kamari ??
Labda kamari zinawaingizia pesa nyingi wahusika ambao ndio wangeweza kuvifuta !Ni kweli vyombo vya habari kwa sasa vimepoteza maana, 24 hrs wanaongelea kamari, mpira, Mziki na mapenzi hawatoki kwenye hizo mada.
Wakibadili sana ni matukio ya kawaida ya viongozi na matukio jinai.
Lakini kila baada ya dakika moja kuna tangazo la kamari.
Vyombo vya namna hii bora vifutwe tu, tuanze upya.
Vyombo vya habari havipaswi kuwa hivi labda kama kimeanzishwa kwa lengo hilo.Labda kamari zinawaingizia pesa nyingi wahusika ambao ndio wangeweza kuvifuta !
Kwani hawakuona ubunifu mwingine wa kuongeza viewers na listeners badala ya kufanya kamari kwenye vyombo vya habari ?Social media happened. Smartphones zimezagaa sana
Social media imeua vyombo vya habari.
Watu wako busy na Instagram,JF,Youtube na Tiktok. Watu tena hawapay attention kwa Tv na Radio kama zamani.
Kwahyo uhai wa vyombo ukawa unapumulia mtungi.
Kujikwamua kutoka kufirisika ikabidi wajiingize kwenye biashara ya kamari ili kuendesha makampuni.
Sii kweli, waandishi wana CCM wapo ila waandishi wa vyama vingine pia wapo, na hata sisi waandishi tuliomo CCM, sii kweli wote tunamendea teuzi, mfano mzuri ni mimi.Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm
Ukiona tukio haliripotiwi kikamilifu ujue sio issue!.Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni
Huu ni ushauri mzuri, hata mimi pia niliwashauri. Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi
Nawatakia Dominica Njema!
Mwanacho na Raia Mwema yamekuwa magazeti ya hovyo sana siku hizi bahasha zimewapofuaNi ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni
Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi
Nawatakia Dominica Njema!
Naunga mkono hoja.Nchi yetu, kwa kiasi kikubwa inakosa vyombo vya habari katika maana halisi. Vingi vilivyopo vinatumila kama vyombo vya propaganda vya chama tawala au vinasubiri kutumika na chama tawala ili kupata manufaa binafsi.