Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

Kufa havitakufa ila chamoto......
Kama ni hivyo tunasafari ndefu sana.

Kwa sasa kwa tv zetu hizi pamoja na radio hakuna cha maana unachoweza kusikiliza zaidi ya makelele ya kamari na mapenzi.

Vyombo vya habari ni tool muhimu sana kwenye jamii hivi hali itakuwaje huko mbeleni kwa vyombo vya habari visivyo na content namna hii?
 
Miliki chombo Cha habari alafu kuwa chadema, utajua kilichomtoa kanga manyoya
 
Ni kweli vyombo vya habari kwa sasa vimepoteza maana, 24 hrs wanaongelea kamari, mpira, Mziki na mapenzi hawatoki kwenye hizo mada.

Wakibadili sana ni matukio ya kawaida ya viongozi na matukio jinai.

Lakini kila baada ya dakika moja kuna tangazo la kamari.

Vyombo vya namna hii bora vifutwe tu, tuanze upya.
Imebidi vitugee tunachotaka.

Ukiangalia taifa letu ni taifa lisilotaka kusikia umbea? Au kamari?

Angalia nyuzi za humu utapata picha ni kwanini na wenyewe wamefuata mkondo.

Media ni taswira ya jamii husika.
 
Inatia hasira sana .. hakuna hata kujadili critical issues za kitaifa kwa maslahi mapana ya nchi. Mwendo ni kujadili Mambo ambayo hayana msaada kwa jamii in long run
Kuna wakati, hasa nikiwa kwenye gari, nafungua redio na kuzima mara moja, maana unaona ni upuuzi mtupu.

Watangazaji wengi wanazifanya studio kuwa vijiwe vya kupigia story. Hakuna cha maana, ni umbeya umbeya na kucheka, kama vile kucheka nayo ni habari.
 
Imebidi vitugee tunachotaka.

Ukiangalia taifa letu ni taifa lisilotaka kusikia umbea? Au kamari?

Angalia nyuzi za humu utapata picha ni kwanini na wenyewe wamefuata mkondo.

Media ni taswira ya jamii husika.
Dah tumepotea sana
 
Vyombo vya habari havipaswi kuwa hivi labda kama kimeanzishwa kwa lengo hilo.

Ukifungua tv za Tanzania ukaangalia kwa 12 hrs ni aibu mno.

Watangazaji wa kike wako uchi uchi tu, muziki wanapiga una adult content lakini hawatoi warning yoyote watoto watajifunza nini kwenye tv za namna hii ?

Muda wote wanacheza matangazo ya kamari tu.

Mbona tumekuwa nchi ya hovyo namna hii
Inaashiria ulegevu wa regulator ambaye ni Serikali kupitoa wizara ya habari.

Fikiria serikali inayofuta vipindi vya bunge live lakini inaruhusu vipindi vya sindimba kwa muda wowote wanaotaka waandaaji wa kipindi.
 
Inaashiria ulegevu wa regulator ambaye ni Serikali kuoitoa wizara ya habari.

Fikiria serikali inayofuta vipindi vya bunge live lakini inaruhusu vipindi vya sindimba kwa muda wowote wanaotaka waandaaji wa kipindi.
Inasikitisha sana, nimeamua kupunguza muda wa kuangalia tv tofauti na mpira sina kingine cha kuangalia kwenye tv zetu za ndani
 
Inasikitisha sana, nimeamua kupunguza muda wa kuangalia tv tofauti na mpira sina kingine cha kuangalia kwenye tv zetu za ndani
Tatizo ni kwamba vyombo vyenyewe vinavyoitwa vya habari, mara nyingi haviwi vyombo vya habari, ni vyombo vya umbea, propaganda na uwongo.

Ukitaka ujue hatuna vyombo vya habari, kuwe na tukio baya lililofanywa na Serikali, idara ya Serikali au viongozi wa Serikali.

Ndiyo maana kukiwa na matukio makubwa negative yanayoigusa Serikali, utalazimika kuitafuta BBC au DW, vyombo vya habari vya Ulaya ili upate taarifa za yanayoendelea Tanzania, na wakati wewe mwenyewe upo Tanzania.

Sisi kila kitu tunafeli, sijui tunaweza nini.
 
Tunaweza Sihasa!
 
Citizen journalism imekuwa mwiba mchungu kwenye tasnia ya habari Tanzania pia bado tuna fikra ya kijinga kufikili uandishi ni kipaji na sio taaluma
Huko Twitter, Kuna jamaa anajiita madenge ,sikuhizi yupo huko efm lakini yule bwana ukiangalia tweets zake ,utagundua Kuna ombwe kubwa kwenye hiyo tasnia
 
Back
Top Bottom