innocent j
Member
- Jan 17, 2012
- 58
- 9
Habari zenu wakuu?
Ana miaka 26 lakini toka azaliwe hajawahi kupata zile ndoto pevu(wet dreams)..
Hii ndio case niliyoombwa ushauri. Imeniwia vigumu kumjibu haraka. Je ni tatizo la kawaida? Kabla ya kukutana na mshkaji ckuwah kuhisi kama kunamtu anaweza asipate hizi ndoto.
Ushauri wenu jamani..