mboka kama kapiga picha kwenye kibaraza, naona kule chini ni kuelekea mabonde kuinama. hapo ni amenyoa nywele tu na mavipele, atumie sabuni nzuri tu yatapona au ayaache kwa muda mrefu bila kunyoa hadi ngozi itengamae.Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja ( za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakikaView attachment 2650159
KApime miwayaHakuna kipimo maalum nilichopimwa Zaid daktari wa ngozi alikuwa akinipa tube na vidonge
Mabonde kuinama Tena hahahamboka kama kapiga picha kwenye kibaraza, naona kule chini ni kuelekea mabonde kuinama. hapo ni amenyoa nywele tu na mavipele, atumie sabuni nzuri tu yatapona au ayaache kwa muda mrefu bila kunyoa hadi ngozi itengamae.
Pole sana mkuu ngoja wajuvi wakuje kukupa muongozo utakua sawa IJN!! Amen!Ni baadhi ya sehemu
hiyo ni ngozi ya wapi hiyo kwa akili zakoMabonde kuinama Tena hahaha
Sio huko Kama unavyodhani mkuu
Hivi kuna haja gani ya kupost picha alafu ukafuta? Au msaada ulioutaka ushaupata mkuu?Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakika
Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua wapi naweza kupata matibabu ya uhakika