tatizo la nguvu za kiume

mzee wa ujiji

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
78
Reaction score
30
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili
 
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume, ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili

Ushapona
 
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili

Unadhani ukipiga bao ngapi ndiyo uanaume?
 
Mabinti wa kike huwa unapiga mbili...
Wasiokuwa wa kike tatizo hili linajirudia?
 
ndugu zangu nilikuwa na mchumba wangu amenikimbia kutokana na tatizo langu ndo maana niliombaa ushauri wenu
 
ndugu zangu nilikuwa na mchumba wangu amenikimbia kutokana na tatizo langu ndo maana niliombaa ushauri wenu

Mkuu mbona bao mbili za uhakika zinatosha?!

Kwani unatumia muda gani kupiga hizo bao mbili?

Na huyo mchumba alikukimbia kwa kushindwa kupiga bao zaidi ya mbili au kuna sababu nyingine?
 
Mkuu mbona bao mbili za uhakika zinatosha?!

Kwani unatumia muda gani kupiga hizo bao mbili?

Na huyo mchumba alikukimbia kwa kushindwa kupiga bao zaidi ya mbili au kuna sababu nyingine?

HAPO NDIO TATIZO...mie huwa najipigiaga moja tuuu lakini shuhuli yake hana hamu!! kukuruka mzee wa ujiji
 
Last edited by a moderator:
Pole Sana Jaribu Pia Style Hii nayo inasidi kupiga bao nyingi.

Kama Tatizo Likizidi mtafute Huyu

Pia Pendelea kula matunda haya
 
Fanya kegel exercises flec kama 700, ila kwa kuanzia anza na flex 30 ukishazoea nenda mpaka 700, baada ya hapo, hao mabinti wa kike watakuwa wanaomba mda wa mapumziko wakati hujakojoa hata bao moja.

Kegel exercise itakusaidia kusimamia shoo kwa masaa mawili bila kupumzika, na ukitaka kufurahia kugegeda usikojoe/usipige bao kwani kupiga bao ndo huleta uume kusinyaa na kupunguza nguvu mwilini.
 
funguka mkuu jinsi ya kufanya hayo mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…