mzee wa ujiji
Member
- Jun 19, 2013
- 78
- 30
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume, ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili
Dawa mbona imeshapatikana bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.htmlbhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona tatizo ili
ndugu zangu nilikuwa na mchumba wangu amenikimbia kutokana na tatizo langu ndo maana niliombaa ushauri wenu
Mkuu mbona bao mbili za uhakika zinatosha?!
Kwani unatumia muda gani kupiga hizo bao mbili?
Na huyo mchumba alikukimbia kwa kushindwa kupiga bao zaidi ya mbili au kuna sababu nyingine?
Fanya kegel exercises flec kama 700, ila kwa kuanzia anza na flex 30 ukishazoea nenda mpaka 700, baada ya hapo, hao mabinti wa kike watakuwa wanaomba mda wa mapumziko wakati hujakojoa hata bao moja.
Kegel exercise itakusaidia kusimamia shoo kwa masaa mawili bila kupumzika, na ukitaka kufurahia kugegeda usikojoe/usipige bao kwani kupiga bao ndo huleta uume kusinyaa na kupunguza nguvu mwilini.