Tatizo la nyonga na staili za mapenzi

Tatizo la nyonga na staili za mapenzi

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Za masiku enyi wananchi!
Straight to the point kuna mdada anateseka sana na tatizo fulana ambalo kwa mda sasa na linamkosesha raha ya maisha especially ktk aspect nzima ya MAHUSIANO YA KIMAPENZi.
Nhivi, huyo duu anasumbuliwa na nyonga. Alizaliwa fresh tu akakua kua akitembea fresh but alipofika umri flan akaanza kuchechemea kama kuchechemea kwa mbali. Jinsi siku zinavoenda mchechemo unazidi na nyonga zinazidi kukaza kiasi kwamba hata kutanua miguu sana hawezi. Pindi yu mtoto mtoto huko primary wazazi walijaribu kumpeleka hospitali mara moja tu na badae hawakufatilia tena. Sasa amekua mbinti wa kuweza kujihusisha na mamboo yetu yalee ndio anagundua kuwa kumbe tatizo ni kubwa sana kwani kuna baadhi ya styles za kufanyana kwake ni ngumu kwani nyonga hazitanuki sana na inampelekea kujisikia vibaya kwani yamevunjika mahusiano kadhaa hiko kikiwa ni kikwazo! Her styles are limited na unakuta wanaume pamoja na yooote kifo cha mende ndo kama mzizi nayeye ndoivo.
Besides anafikiria katika suala la kujifungua if she become pregnant sawa kuna operation ila dah!!!!
Je source ya tatizo hilo ni nini na what might be possible way out kunusuru mahusiano na maisha yake kiujumla?????
Nawasilisha.
 
Ukoje nae huyo mdada.
maana watu watataka kumuuliza maswali.
 
Pole zake ila taarifa ya tatzo imetoka baada ya kushindwa kukonorana....hahaa
 
Maelezo ya awali hayajitoshelezi hata kufikiria ilikuwa ni nini.

Maana swali lako litaka kujua ilikuwa ni nini?

Na hatimaye yake ni nini ...hapo cha kwanzo ni kukuona daktari bingwa wa wana wake ili ampe uhakika kuhusu uzazi na kama kuna mengine atamwambia
 
Za masiku enyi wananchi!
Straight to the point kuna mdada anateseka sana na tatizo fulana ambalo kwa mda sasa na linamkosesha raha ya maisha especially ktk aspect nzima ya MAHUSIANO YA KIMAPENZi.
Nhivi, huyo duu anasumbuliwa na nyonga. Alizaliwa fresh tu akakua kua akitembea fresh but alipofika umri flan akaanza kuchechemea kama kuchechemea kwa mbali. Jinsi siku zinavoenda mchechemo unazidi na nyonga zinazidi kukaza kiasi kwamba hata kutanua miguu sana hawezi. Pindi yu mtoto mtoto huko primary wazazi walijaribu kumpeleka hospitali mara moja tu na badae hawakufatilia tena. Sasa amekua mbinti wa kuweza kujihusisha na mamboo yetu yalee ndio anagundua kuwa kumbe tatizo ni kubwa sana kwani kuna baadhi ya styles za kufanyana kwake ni ngumu kwani nyonga hazitanuki sana na inampelekea kujisikia vibaya kwani yamevunjika mahusiano kadhaa hiko kikiwa ni kikwazo! Her styles are limited na unakuta wanaume pamoja na yooote kifo cha mende ndo kama mzizi nayeye ndoivo.
Besides anafikiria katika suala la kujifungua if she become pregnant sawa kuna operation ila dah!!!!
Je source ya tatizo hilo ni nini na what might be possible way out kunusuru mahusiano na maisha yake kiujumla?????
Nawasilisha.
Tatizo flank ndo tatizo gani at??
 
Back
Top Bottom