Tatizo la Power Steering kwenye Toyota Allex

Tatizo la Power Steering kwenye Toyota Allex

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,644
Reaction score
1,648
Wakuu habari!

Naomba msaada, gari aina ya Allex imeniwashia taa ya PS, na mara kadhaa imekuwa ikiwasha na kuzima yenyewe baada ya mda. Sasa nahitaji suluhisho la kudumu.

1. Nini sababu haswa?

2. Namna ya kutatua

3. Makisio ya gharama

Lakini pia naomba kujua hizi gari kama zinatumia power steering ya umeme au steering rack? Maana naona mafundi wananichanganya na kwa namna fulani kama wanatengeneza mazingira ya kunipiga.

Ahsanteni
 
WAtaalamu wamesema wanakuja wamenituma mimi muuza matairi na betry niwaekee nafasi
 
Tafuta manual ya gari yako uisome uielewe gari
 
Back
Top Bottom