Tatizo la Puma / asthma

Tatizo la Puma / asthma

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nina ndugu yangu anasumbuli sana tatizo la pumu / asthma
Binafsi maspitali nimechoka nayo, mana diwa za kumpa afadhali tu alafu baada ya wiki wiki 2 mambo tena.
Hivi hakuna dawa za mbadala za matunda, mbogamboga, au zikienyeji kiujumla?
 
kuna dawa za ku prevent asthma attakcs!
Watanzania tuache kujidaganya na hiyo miti shamba nyingi ni Placebo zisizokua na msaada na wengine wamejificha huko kujipatia pesa!
Na kuna taarifa nyingine nimesikia kuwa kwenye hiyo mitishamba wanatia dawa za kisasa!
Asthma ni sayansi usitegemee itibiwe na dawa zinazotolewa na watu wa kubahatisha!

Pili kuna vitu vinamchochea mgonjwa wako apate attacks za mara kwa mara kama vumbi au hata vitu vye harufu kali kama perfumes n.k.

Vitu kama hivi inabidi aviepuke
 
Kuna ndugu yangu huwa anabanwa kifua humidity ikiwa juu.

Huwa anatumia dawa; ila ninachotaka kuuliza, je akijenga tabia ya kufanya mazoezi inaweza kumsaidia? Kwa sasa hafanyi mazoezi kabisa.
 
kuna dawa za ku prevent asthma attakcs!
Watanzania tuache kujidaganya na hiyo miti shamba nyingi ni Placebo zisizokua na msaada na wengine wamejificha huko kujipatia pesa!
Na kuna taarifa nyingine nimesikia kuwa kwenye hiyo mitishamba wanatia dawa za kisasa!
Asthma ni sayansi usitegemee itibiwe na dawa zinazotolewa na watu wa kubahatisha!

Pili kuna vitu vinamchochea mgonjwa wako apate attacks za mara kwa mara kama vumbi au hata vitu vye harufu kali kama perfumes n.k.

Vitu kama hivi inabidi aviepuke
Umeongea jambo la msingi ugojwa huu nimelishwa uchafu wa kila namna, ila kwakujikinga Na hayo mashambulio yamepungua. Hata Demu akija kafuka udi au pafyumu Niko radhi kughaili mpambano maana shughuli ya ugonjwa huu naijua
 
Back
Top Bottom